Jinsi Ya Kuacha Tabia Ya Kuwasema Watu Wengine Vibaya...!
M4A•Episodio en casa
Manage episode 401083858 series 3280689
Contenido proporcionado por Innocent Ngaoh. Todo el contenido del podcast, incluidos episodios, gráficos y descripciones de podcast, lo carga y proporciona directamente Innocent Ngaoh o su socio de plataforma de podcast. Si cree que alguien está utilizando su trabajo protegido por derechos de autor sin su permiso, puede seguir el proceso descrito aquí https://es.player.fm/legal.
Umekuwa na tabia ya kuwasema watu wengine kwa namna yoyote kwenye maisha yao? Hii ni tabia mbaya, lakini hujui ufanye nini ili uache tabia hii ya kimaskini na ni tabia mbaya. Inawezekana siyo wewe ila kuna watu wa karibu yako wana tabia hii, basi kupitia maarifa haya utaweza kuwa chachu ya kubadilika kwake. Huwezi kumbadilisha mtu ila unaweza kuwa sababu ya yeye kubadilika kama atakuwa tayari kubadilika. Kwahiyo... Unahitaji sana kuacha tabia ya kuwasema watu wengine vibaya kwa namna yoyote. Kwa sababu ni tabia ambavyo inafanya upoteze uaminifu na kuonekana ni mtu wa hovyo. Hata kuharibu mahusiano yako na watu karibu yako, hasa pale wakigundua ni tabia yako kuwasema vibaya kwa watu wengine. Unahitaji sana kuwa muungwana kwa kutowasema watu wengine vibaya kwa namna yoyote ile. Kwa kuacha tabia ya kuwahukumu watu wengine kwa sababu yoyote ile. Kupitia episode hii... Utajua ni kwa namna gani unaweza kuacha tabia ya kuwasema watu wengine vibaya. Baada ya kusikiliza kuwa na uhakika hautakuwa mama ulivyokuwa mwanzo. Muda ndiyo sasa wa mabadiliko.
…
continue reading
111 episodios