Artwork

Contenido proporcionado por UN Global Communications (Digital Solutions Unit) and United Nations. Todo el contenido del podcast, incluidos episodios, gráficos y descripciones de podcast, lo carga y proporciona directamente UN Global Communications (Digital Solutions Unit) and United Nations o su socio de plataforma de podcast. Si cree que alguien está utilizando su trabajo protegido por derechos de autor sin su permiso, puede seguir el proceso descrito aquí https://es.player.fm/legal.
Player FM : aplicación de podcast
¡Desconecta con la aplicación Player FM !

04 NOVEMBA 2024

9:49
 
Compartir
 
Manage episode 448479353 series 2027789
Contenido proporcionado por UN Global Communications (Digital Solutions Unit) and United Nations. Todo el contenido del podcast, incluidos episodios, gráficos y descripciones de podcast, lo carga y proporciona directamente UN Global Communications (Digital Solutions Unit) and United Nations o su socio de plataforma de podcast. Si cree que alguien está utilizando su trabajo protegido por derechos de autor sin su permiso, puede seguir el proceso descrito aquí https://es.player.fm/legal.
Hii leo jaridani tunaangazia machafuko nchini Sudan unaosababisha janga la njaa, na mradi wa maji Galmudug Somalia kwa ajili ya maji safi na salama pamoja na mifugo. Makala tunakupeleka nchini DR Congo na mashinani nchini Kenya, kulikoni?Nchini Sudan ambako vita na janga la njaa vinaendelea kuwa mwiba kwa raia sasa wahudumu wa kibinadamu wa Umoja wa Mataifa wanaonya juu ya tishio lingine kubwa la milipuko ya magonja ya kipindupindu na homa ya kidingapopo huku mfumo mzima wa afya ukiwa taabani.Nchini Somalia, ni asilimia 52 tu wananchi ndio wanapata huduma ya maji safi na salama. Wengine hulazimika kutembea umbali mrefu kuteka maji ambayo si ya uhakika. Hata hivyo kwa msaada wa shirika la Umoja wa Mataifa la kuhudumia watoto, UNICEF nchini humo pamoja na wadau, hali sasa inaanza kuimarika.Makala inakupeleka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, DRC ambako Kapteni Fadhillah Nayopa, Afisa habari wa kikosi cha 11 cha walinda amani wa Tanzania, TANZBATT-11 katika ujumbe wa Umoja wa Mataifa wa kulinda amani nchini DRC, MONUSCO anazungumzia usaidizi waliopatia watoto yatima.Mashinani kupitia video ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa chakula, tunakutana na Geoffrey Nawet, Mwanafunzi katika shule ya Kakuma nchini Kenya akitueleza jinsi ambavyo programu ya Mlo shuleni ya lishe bora umewawezesha wanafunzi kumakinika shuleni na kupata motisha ya kuendelea na masomo.Mwenyeji wako ni Assumpta Massoi, karibu!
  continue reading

100 episodios

Artwork
iconCompartir
 
Todos los episodios

×
 
Loading …

Bienvenido a Player FM!

Player FM está escaneando la web en busca de podcasts de alta calidad para que los disfrutes en este momento. Es la mejor aplicación de podcast y funciona en Android, iPhone y la web. Regístrate para sincronizar suscripciones a través de dispositivos.

Guia de referencia rapida