Wanawake wengi wanajikuta wana uzito fulani kuhusu mambo ya ndani(intimacy)Afya ya akili(Mental health ) ni muhimu na ni mazungumzo ambao yanabidi yazungumzwe kwa uwazi ili wanawake wasijisikie wako peke yao kwenye mambo mengi kwa hofu ya kudhalilishwa au kitiwa /kujihisi aibu kuwa wanapitia mengi yalokuwa yanawabomowa kisaikolojia.Jumuika nami tukuwa na wazungumzaji tofauti kila wiki tujijenge kiafya.
…
continue reading
1
Episode 8-Heshima ya THE COOKIE
2:04:00
2:04:00
Reproducir más Tarde
Reproducir más Tarde
Listas
Me gusta
Me gusta
2:04:00
Mazungumzo haya ni kuhusu heshima za siri za kiwiliwili cha mwanamke-THE COOKIE,mafunzo,upeo wa ufahamu,madhara ya kutokuwa ya elimu hii na mapuuzaji ya kutokuweka afya mstari wa mbele.Afya na kisaikolojia na umuhimu wa kujiweka kwenye ukuwaji wa watoto wetu na pia kujuana kuheshimiana.
…
continue reading
1
Episode 7-Kujifunza kutrust tena
1:40:43
1:40:43
Reproducir más Tarde
Reproducir más Tarde
Listas
Me gusta
Me gusta
1:40:43
Kuaminiana/trust kwenye mahusiano endapo mahusiano yamepoteza kutokuaminiana,vipi mnarudi pazuri.Mbinu au jinsi Mme/Mke anasamehe makosa makubwa kwa ajili ya kuendelea kuwa kwenye mahusiano. Jamani kweli mahusiano yanaweza kuwa na nguvu baada ya kutokuaminiana,hapa ni pagumu!
…
continue reading
1
Episode 5-Self Kujipenda
2:05:30
2:05:30
Reproducir más Tarde
Reproducir más Tarde
Listas
Me gusta
Me gusta
2:05:30
Kujipenda/Self love ni muhimu kwa sote binadamu maana usipo jipenda wewe mwenyewe atakupenda nani?Umuhimu wa kujipenda kwenye jamii au kwenye mahusiano yanakuwa mazuri zaidi maana unaonyesha jinsi unavyotaka kupendwa kwa kujiamini na pia kuonyesha mapenzi ya dhati kwa wenzio.
…
continue reading
1
Episode 4- Cuisine za Chumbani
2:21:55
2:21:55
Reproducir más Tarde
Reproducir más Tarde
Listas
Me gusta
Me gusta
2:21:55
Cuisine za Chumbani inagusia mengi ya Chumbani kuanzia umuhimu, mbinu za kuboresha mahusiano,faida na mambo gani yanaweza kukwaza kutokwenda sambamba kimapenzi.Elimu ya Chumbani pia ni muhimu kuanzia kujitayarisha kiakili,kimwili,kiafya na kwa ushirikiano.
…
continue reading
1
Episode 3- Mtango wa Entanglement
2:10:42
2:10:42
Reproducir más Tarde
Reproducir más Tarde
Listas
Me gusta
Me gusta
2:10:42
Mazungumzo ya leo ni kuhusu mpango wa kando na mitihani inayopitiwa kwenye mahusiano ya ndowa.kuna mengi yepi yanayowakabili watu hata wakajikuta kwenye mtango wa entanglements. Ni kitu kinacho endelea kutoka enzi za mababu kimebadilika sura kidogo lakini bado kipo kinajionyesha sura yake tofauti.
…
continue reading
1
Episode 2-Deka nikudekeze
1:41:19
1:41:19
Reproducir más Tarde
Reproducir más Tarde
Listas
Me gusta
Me gusta
1:41:19
Nini neno Deka na vitendo vyake,kwa kizungu tunasema Undivided attention. Nguvu za kike na kiume na jinsi kukuza mahusiano yetu kea kujielimisha na kuzungumza wa wapenzi wetu.kujijenga kwa mazoezi ya akili na mwili kwa vyakula na lishe na vitamin na pia kujipenda na kumpenda mpexi wako na kasoro zake.…
…
continue reading
1
Episode 1-Mpenzi chocolate
1:28:10
1:28:10
Reproducir más Tarde
Reproducir más Tarde
Listas
Me gusta
Me gusta
1:28:10
Nini Mpenzi...nini mapenzi... tunachambua kiini cha pnzi na maana tofauti yanayoambantana pamoja kulifanya liwe ngao ya ndoa na mahusiano
…
continue reading
Jumuika nami katia changa moto zinazowakabili haswa wanawake kimapenzi na wanaona utata au uzito kusema yanao wakereketa mpaka jambo likawafanya after zikadhohofika kisaikolojia ...tuna fungua sebule -karibuni
…
continue reading