Sikiliza MAELEZO PODCASTS (Podcasts za Kiswahili kutoka Idara ya Habari MAELEZO, Tanzania) kupata taarifa na matukio mbalimbali nchini Tanzania. Idara ya Habari (MAELEZO) ipo chini ya Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari ikiwa na jukumu la kutoa taarifa kuhusu utekelezaji wa Sera, mipango na miradi ya maendeleo vinavyotekelezwa na Serikali kwa wananchi, kusimamia vyombo vya habari hasa magazeti na machapisho na kuishauri Serikali juu ya Sera na Sheria za habari.
…
continue reading
Watanzania kwa ujumla tuanze kupanda miche ya kisasa ya Michikichi kutokana na nchi kutumia gharama kubwa kuagiza mafuta ya mawese yatokanayo na zao hilo kutoka mataifa mengine duniani.Por Tanzania Information Services Department, Habari-MAELEZO

Por Tanzania Information Services Department, Habari-MAELEZO
…
continue reading
Por Tanzania Information Services Department, Habari-MAELEZO
…
continue reading
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii inatekeleza mradi wa kukuza utalii kusini mwa Tanzania (REGROW). Mradi wa REGROW ni mkopo kutoka Benki ya Dunia na lengo kuu la mradi huu ni kuboresha maeneo yenye vivutio vya utalii katika ukanda wa kusini mwa Tanzania. Hii ni pamoja na kuboresha usimamizi wa maliasi…
…
continue reading
1
Taarifa ya Wiki ya Msemaji Mkuu wa Serikali Mkoani Singida
1:36:35
1:36:35
Reproducir más Tarde
Reproducir más Tarde
Listas
Me gusta
Me gusta
1:36:35
Mkutano wa Mkurugenzi wa Idara ya Habari - MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Ndg. Gerson Msigwa na Waandishi wa Habari mkoani Singida, Septemba 26, 2021 #KaziiendeleePor Tanzania Information Services Department, Habari-MAELEZO
…
continue reading
Por Tanzania Information Services Department, Habari-MAELEZO
…
continue reading