Alfajiri público
[search 0]
Más
Download the App!
show episodes
 
Loading …
show series
 
Mwigizaji wa filamu za ngono Stormy Daniels alikutana ana kwa ana na Rais wa zamani wa Marekani, Donald Trump siku ya Jumanne, akiwaambia majaji katika kesi yake ya New York kwamba alikuwa na uhusiano wa kimapenzi naye mwaka 2006 na alilipwa dola 130,000 ili kukaa kimya.Por VOA
  continue reading
 
Ripoti ya kila mwaka ya shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu, Amnesty International, inaonyesha hali bado ni mbaya nchini Zimbabwe, DRC na Ethiopia, licha ya kuisifu Zimbabwe kwa kutekeleza sheria kulinda watoto dhidi ya mimba za mapema.Por VOA
  continue reading
 
Historia iliaandikwa jana Jumatatu pale, rais wa zamani wa Marekani, alijipata kizimbani, kwenye mahakama moja mjini New York, na kupinga vikali mashtaka ya kashfa ya kuzuia taarifa kuhusu maisha yake ya kibinafsi, kuwekwa wazi, ili zisiathiri vibaya nafasi yake ya kushinda uchaguzi wa rais.Por VOA
  continue reading
 
Baadhi ya viongozi wa nchi na serikali waliohudhuria kumbukumbu ya mauaji ya kimbari dhidi ya Watutsi wa Rwanda miaka 30 iliyopita wamesema hadi sasa, licha ya kubainika kuwa ulimwengu ulishindwa kuzuia mauaji hayo, bado dunia haijajifunza kutokana na kilichotokea wakati huo.Por VOA
  continue reading
 
Mgombea urais kwa tikiti ya upinzani wa Senegal Bassirou Diomaye Faye, mgeni kisiasa, lakini ambaye ni maarufu miongoni mwa vijana wasioridhishwa na utawala uliopo, aliahidi Jumatatu kutawala kwa unyenyekevu na uwazi, wakati akisubiri kutangazwa kuwa rais ajaye.Por VOA
  continue reading
 
Hesabu za kwanza katika vituo vya kupigia kura katika uchaguzi wa rais uliocheleweshwa nchini Senegal Jumapili zinaonyesha mgombea wa upinzani Bassirou Diomaye Faye akiongoza.Wafuasi wake walianza kusherekea mitaani baada ya siku ya amani ya uchaguzi ambayo wengi wanatumaini utaleta mabadiliko.Por VOA
  continue reading
 
Loading …

Guia de referencia rapida