Mashari público
[search 0]
Más

Download the App!

show episodes
Loading …
show series
 
Leo tunaangazia juu ya fursa na ajira kwa vijana nchini Tanzania. Utawasikia vijana wa huko wilayani Rorya mkoani Mara kaskazini-magharibi mwa Tanzania jirani kabisa na mpaka wa Kenya. Kama utakavosikia kwenye mazungumzo yetu, vijana hao wanabainisha ni jinsi gani wameamua kubuni jinsi ya kujipatia kipato kwa njia ya burudani.…
 
Julian Rubavu anaangazia juu ya uhaba wa dagaa wapatikana katika ziwaTanganyika hukoKigoma, Tanzania.Wenyeji wanasema kuwa dagaa wa Kigomani watamu saana, lakini pia gharama za kuwavua dagaa hao ni kubwa sanaambapo mvuvi anatumia zaidi ya shilingi laki moja na elfu ishirini(120,000). Wenyeji wanasema kuwa sababu nyingine ni zana duni zauvuvi.…
 
Katika makala ya juma hili ya Afrika Mashariki, mawanahabari wetu Juliani Rubavu anaangazia hutua ya mataifa ya Afrika mashariki kuwashauri wataalamu wao kutoondoka katika mataifa hayo kutafuta kipato katika mataifa mengine kwa lengo la kuchangia kuimarika kwa uchumi katika mataifa yao.Por RFI Kiswahili
 
Leo tunaangazia makubaliano ya viongozi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki waliokutana hivi karibuni jijini Dar es salaam nchini Tanzania na kuidhinisha rasmi Elimu ya juu ya pamoja ndani ya nchi wanachama. Hii inamaanisha nini ? Karibu sana.Por RFI Kiswahili
 
Makala ya kwanza kabisa mwaka huu wa 2017 tunaanzia nchini Ugandaambapo tutaangazia vitendo viovu vya ulaji nyama ya binadamu.Kusini mwa Uganda kwenye wilaya za Rakai, Kyotera na nyinginezo watuwanakamatwa, wanachinjwa na kuliwa nyama na binadamu wenzao.Por RFI Kiswahili
 
Makala haya ya Afrika ya Mashariki inaangazia juu ya changamoto za kiuchumi na maendeleo kwenye ukanda wa afrika ya mashariki. Katika makala haya watasikika baadhi ya raia wa Tanzania waishio maeneo ya mpakani, na pia mahojiano na waziri wa Tanzania kwenye jumuiya ya afrika ya mashariki Dr Harrison Mwakyembe akiangazia baadhi ya changamoto kwenye m…
 
Makala hii ya Afrika ya Mashariki inaangazia sehemu ya pili kuhusu maendeleo ya kijamii katika kijiji cha Kogelo, kaunti ya Siaya magharibi mwa Kenya, alipozaliwa baba yake Barack Obama, rais wa Marekani. Utamsikia bibi Sarah Onyango Obama, mama mzazi wa baba wa rais wa Marekani Barack Obama, anazungumziaje kuhusu chimbuko la kiongozi huyo wa Marek…
 
Makala ya Afrika Mashariki inaangazia juu ya changamoto kwenye sekta ya elimu nchini Tanzania, ambapo baadhi ya shule nyingi za serikali ngazi ya kata zimegeuzwa na kuitwa “ Yeboyebo”, na kwa upande mwingine makala haya yanagusia shule binafsi zenye hadhi za kimataifa.Por RFI Kiswahili
 
Juma hili, Tanzania imeadhimisha miaka 15 tangu kuaga dunia kwa Mwanzilishi wa taifa lao Mwalimu Julius Kambarage Nyerere mwaka 1999.Ni kiongozi ambaye anakumbukwa ndani ya nje ya Tanzania kama anavyobaini Mwandishi wetu Julian Rubavu.Por RFI Kiswahili
 
Makala haya ya Afrika ya Mashariki inaangaziajuu ya hati za kusafiria kwa raia wa afrika ya mashariki. Nchi za Kenya, Rwanda na Uganda zimekubaliana kutumia vitambulisho vya uraia kutoka nchi moja hadi nyingine baina ya nchi hizo. Je, kuna changamoto gani katika utekelezwaji wa hatua hiyo? Kujua mengi zaidi, sikiliza makala haya.…
 
Makala haya ya Afrika ya Mashariki inaangazia juu ya mkutano wa viongozi wa madhehebu ya kiislamu toka afrika ya mashariki na kati waliokutana mjini Bujumbura nchini Burundi juma lililopita kuzungumzia namna ya kuimarisha amani kinyume na dini yao kuhusishwa na vitendo vya kigaidiPor RFI Kiswahili
 
Makala haya ya Afrika ya Mashariki inaangazia juu ya sherehe za nane-nane zilizoadhimishwa juma lililopita nchini Tanzania. Shere hizo zimemlenga zaidi mwananchi mkulima wa Tanzania. Karibu uungane na baadhi ya raia wa magharibi mwa Tanzania kujua hali ya kilimo ilivyo maeneo yao.Por RFI Kiswahili
 
Makala ya Afrika ya mashariki huu ni inaangazia juu ya changamoto za matumizi ya vitambulisho vya utaifa na changamoto maeneo ya mipakani kwa mataifa ya Kenya, Rwanda na Uganda ikiwa ni utekelezaji wa makubaliano ya wakuu wa nchi hizo kwa raia wake kutumia vitambulisho hivyo kuingia na kutoka nchi moja hadi nyingine. Makubaliano hayo yameanza kutek…
 
Makala ya Afrika ya Mashariki inaangazia juu yauapatikanaji katiba mpya nchini Tanzania. Hii ni kuwa wakati huu ndiomuda wa Bunge maalumu la Katiba kurejea Bungeni na kujadili kwa upyarasmu ya pili ya katiba. Kundi la UKAWA wako nje ya Bunge na Kundilingine wako ndani ya Bunge. Je, ni nini Mtazamo wa walioko bungeni nawalioko nje ya Bunge? Kupata m…
 
Loading …

Guia de referencia rapida

Google login Twitter login Classic login