Mashari público
[search 0]
Más
Download the App!
show episodes
 
Loading …
show series
 
Sekta ya Nishati ndiyo mhimili muhimu wa maendeleo ya taifa lolote lile, Mathalan takwimu zinaonesha, mahitaji ya juu ya umeme yameongezeka ambapo serikali ya Tanzania inasema kuwa muelekeo ni kuongeza katika Gridi ya Taifa MW 218.67 na kufikia MW 1,913.22 ifikapo mwishoni mwa mwaka 2022/23.Por RFI Kiswahili
  continue reading
 
Viongozi wa kundi la mataifa ya BRICS - Brazil, Russia, India, China na Afrika Kusini hvi karibuni wamekutana mjini Johannesburg nchini Afrika kusini na ajenda muhimu mezani ikiwa ni kukubali ombi la kuongeza wanachama wapya ndani ya muungano huo. Tunaangazia mkutano huu wiki hii.Por RFI Kiswahili
  continue reading
 
Mwandishi wa Martin Nyoni amezungumza na wakazi wa Mwanza nchini Tanzania kuhusu uelewa wa matumizi ya sarafu Mpango huu wa viongozi wa jumuia hii yenye wanachana saba kwa sasa ulifasiliwa na baadhi ya wachumi kuwa ni sawa na kusukuma tofali kwenye kina kirefu cha bahari bila kuwa na matarajio ya kulifikia tena tofali hilo Umoja wa Fedha wa Afrika …
  continue reading
 
Loading …

Guia de referencia rapida